You are currently viewing Siku ya wanawake Duniani – 2022

Siku ya wanawake Duniani – 2022

Shirika la Kuwezesha Maendeleo – Mbozi(ADP-Mbozi) limeadhimisha Siku ya Wanawake duniani 2022 tarehe 10.3.2022 katika kijiji cha Ilasilo, Kata ya Galula, tarafa ya Songwe wilaya ya Songwe. Kauli mbiu INASEMA”KIZAZI CHA HAKI NA USAWA KWA MAENDELEO ENDELEVU”