You are currently viewing Maadhimisho ya siku ya Wanawake 2023 – Wilaya ya Mbarali

Maadhimisho ya siku ya Wanawake 2023 – Wilaya ya Mbarali

Maadhimisho ya siku ya Wanawake 2023, iliyofanyika na Shirika la Maendeleo ADP Mbozi Wilaya ya Mbarali, ambapo Wafanyakazi walipata wasaa wa kutoa taarifa fupi ya utekelezaji wa mradi wa ACHIEVE na Kibowavi, Mbele ya Mh, Naibu Waziri wa Maji, Merry Mahundi kama mgeni rasmi.