You are currently viewing Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani – Kata ya Bwawani

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani – Kata ya Bwawani

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika kata ya Bwawani, iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo ADP Mbozi, chini ya Mradi wa HIV prevention unaotekelezwa na Shirika la Maendeleo ADP Mbozi na kufandiliwa na PEPFAR na WRAIR kupitia HJFMRI. ambapo mgeni Rasmi ni RPC Mkoa wa Mbeya B.E Kuzaga.