You are currently viewing Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Makongolosi –  Chunya

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Makongolosi – Chunya

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika Kata ya Makongolosi – Wilaya ya Chunya, ambapo Mgeni Rasmi alikua ni Veronica Masache (Mke wa Mbunge wa Jimbo la Lupa), Maadhimisho yamefanyika chini ya Mradi wa HIV prevention unaotekelezwa na Shirika la Maendeleo ADP Mbozi na kufandiliwa na PEPFAR na WRAIR kupitia HJFMRI.