You are currently viewing Siku ya wanawake Duniani – 2022

Siku ya wanawake Duniani – 2022

Mgeni rasmi Ndg. Mfilinge Abdulkadir aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Songwe akitoa hotuba siku ya Wanawake duniani iliyofanyika kijiji cha Ilasilo kata ya Galula wilayani Songwe.