Tangazo la Mnada

Shirika la ADP Mbozi linapenda kuwatangazia wananchi wote kwamba linauza baadhi ya mali zake kama ilivyo onyeswa kwenye jedwali ha chini. kwa yeyote anaye hitaji aandike barua ya kuomba kununua hicho kifa.
NAMNA YA KUOMBA:
Andika kwa Mkurugenzi mtendaji ADP Mbozi Box 204 Mbozi, onyesha kifaa unachotaka kukinunua, namba ya usajili na bei unayo taka kununulia.
Baada ya hapo utatumbukiza kwenye Boxi la tenda ofisi ya ADP makao makuu Mbozi, manada/tenda itafunguliwa siku ya 14 kuazia Tarehe ya tangazo hili ambayo ni 18th Nov 2023