You are currently viewing Siku ya Wanawake Duniani – 2022

Siku ya Wanawake Duniani – 2022

Afisa Tarafa ya Songwe Ndg. Godwin Kaunda akitoa neno la Shukurani na kuaihirisha maadhimisho Ya Siku ya Wanawake duniani yaliyofanyika tarehe 10.3.2022 kijiji cha Ilasilo kata ya Galula wilayani Songwe.