You are currently viewing Ugeni toka Programu ya CHEMA

Ugeni toka Programu ya CHEMA

Wageni kutoka Program ya CHEMA ambao wanatekeleza shughuli zao Mkoani Kagera wamefanikiwa kutembelea shirika la ADP MBOZI na kujifunza mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutembelea baadhi ya miradi ikiwemo Mradi wa KIBOWAVI na Mradi wa Uhakika wa Chakula (Food Security Songwe DC) inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo ADP Mbozi.