You are currently viewing Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani

Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani

Maadhimisho ya Siku ya Chakula duniani mkoani Simiyu, ambapo wafanyakazi wa Mradi wa KIBOWAVI, unaotekelezwa na Shirika la Maendeleo ADP Mbozi walishiriki kikamilifu kwa kuandaa Vyakula mbali mbali, na kutoa Elimu ya Lishe kwa Wageni mbali mbali