You are currently viewing Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani 2022

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani 2022

Mkurugenzu mtendaji wa ADP Mbozi akihutubia hadhira katika Siku ya UKIMWI duniani katika wilaya ya Songwe mkoani Songwe iliyofanyika tarehe 30.11.2022 katika kata ya Kanga kijiji cha Kanga. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “IMARISHA USAWA”. ADP-Mbozi ilialikwa na Kupitia Mradi wa KIBOWAVI walionyesha baadhi ya shughuli wanazofanya kwenye mradi: Kupima watoto na kutoa elimu ya LISHE.