You are currently viewing Siku ya chakula duniani, katika Mradi wa IFSP

Siku ya chakula duniani, katika Mradi wa IFSP

  • Post author:
  • Post category:IFSP

Kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa shirika la ADP Mbozi pichani ni ndugu Maneno Uledi akitoa maelezo kuhusu shirika la ADP Mbozi katika siku ya chakula duniani, lakini pia katika tukio hio afisa mifugo wa Mradi wa IFSP Ndugu Lazaro Dotto alitoa elimu kuhusu ufugaji wa Sungura na kuku. Ambapo maadhimisho hayo yalifanyika tarehe 15/10/2025 katika Kijiji cha Mbala kata ya Mwambani wilayani Songwe katika Mradi IFSP unaotekelezwa na Shirika la ADP Mbozi.