Ugeni toka National Defence College
Picha ya pamoja baada ya kumtembelea mtoa huduma wa kujitolea (LSP) kata ya Ihanda (Mainala Kalinga) ambae pia ni mnufaika wa mradi wa KIBOWAVI unaotekelezwa na ADP Mbozi chini ya…
Picha ya pamoja baada ya kumtembelea mtoa huduma wa kujitolea (LSP) kata ya Ihanda (Mainala Kalinga) ambae pia ni mnufaika wa mradi wa KIBOWAVI unaotekelezwa na ADP Mbozi chini ya…
Tarehe 19 January 2023, National Defence College Members walitembelea shirika la ADP MBOZI na kupata fursa ya kujua shirika kiundani zaidi na Baadae shirika lilikabidhiwa zawadi ya Shukurani
Mafunzo ya Elimu ya HURU na Kinga dhidi ya Ukatili wa Kingono na VVU kwa Vijana wenye miaka 10- 14, Yaliyotolewa kwa Waalimu za Msingi Tunduma TC. Yaliyotolewa na Mradi…
Ugawaji Vifaa vya shule (Educational subsidies) pamoja na taulo za kike (Sanitary pads) uliofanyika katika kituo cha Afya Tunduma H/C. Pichani ni staff kutoka ofisi ya Tunduma, CCW na Afisa…
Ugawaji Vifaa vya shule (Educational subsidies) pamoja na taulo za kike (Sanitary pads) uliofanyika katika kituo cha Afya Tunduma H/C. Pichani ni staff kutoka ofisi ya Tunduma, CCW na Afisa…
Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani 2022 kimkoa yakifanyika Halmashauri ya Mji Tunduma katika viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma, ambapo ADP Mbozi ni moja ya washiriki katika Banda la…