ADP Mbozi imepata fursa ya kushiriki kwenye mafunzo ya uongozi na kukutanishwa na taasisi muhimu. Kwenye picha ni mwezeshaji kutoka TBS katika kuelezea umuhimu wa taasisi hii kwa maisha ya watu na kuwezesha wajasiliamali kufanya shughuli zao kwa uhuru zaidi