You are currently viewing Ugawaji wa Vifaa vya Shule

Ugawaji wa Vifaa vya Shule

  • Post author:
  • Post category:ADP Mbozi

Shirika letu la ADP Mbozi limetoa msaada wa vifaa vya shule (Bag, Daftari, Compass, Pen na Pencil) kwa watoto wenye mahitaji maalum ili kuboresha katika masomo yao. Msaada huu umetolewa katika shule ya Msingi MWENGE na ISANGU zilizopo wilayani Mbozi Mkoani Songwe
Pia ADP Mbozi kwa kushirikiana na Lutheran World Relief katika mradi wa Ufugaji Kuku wametoa blanketi kwa watoto wenye mahitaji maalumu ili kuboresha afya zao.