You are currently viewing Ugeni toka National Defence College

Ugeni toka National Defence College

  • Post author:
  • Post category:ADP Mbozi

Tarehe 19 January 2023, National Defence College Members walitembelea shirika la ADP MBOZI na kupata fursa ya kujua shirika kiundani zaidi na Baadae shirika lilikabidhiwa zawadi ya Shukurani