Maadhimisho ya siku ya wanawake kimkoa yamefanyika Tarehe 09 March 2022 katika wilaya ya Ileje, Mmoja kati ya wanakikundi wa kikundi cha TUDAMSHE kutokea kata ya mlale wilayani ileje akimuelezea mkuu wa mkoa jinsi mafunzo ya KIBOWAVI kupitia mashamba darasa yalivyo wasaidia kuongeza uzalishaji na kipato baada ya kufahamu kanuni bora za kilimo .

Siku ya Wanawake Duniani – 2022
- Post author:Alex
- Post published:April 14, 2022
- Post category:KIBOWAVI PROJECT