Ugeni toka Programu ya CHEMA
Wageni kutoka Program ya CHEMA ambao wanatekeleza shughuli zao Mkoani Kagera wamefanikiwa kutembelea shirika la ADP MBOZI na kujifunza mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja
Wageni kutoka Program ya CHEMA ambao wanatekeleza shughuli zao Mkoani Kagera wamefanikiwa kutembelea shirika la ADP MBOZI na kujifunza mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja
Washiriki wa Mafunzo ya Ujinsia yaliyoandaliwa na Mradi wa Uhakika wa Chakula Songwe wakiwa na Mwezeshaji wa mafunzo yaliyofanyika kuanzia tarehe 13 hadi tarehe 15
Afisa Lishe Martha Mchaki akitoa ufafanuzi kwa mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa mkoa wa Songwe , shughuli tunazotekeleza kwenye jamii kupitia Mradi wa KIBOWAVI
Maadhimisho ya siku ya wanawake kimkoa yamefanyika Tarehe 09 March 2022 katika wilaya ya Ileje, Mmoja kati ya wanakikundi wa kikundi cha TUDAMSHE kutokea kata
Afisa Tarafa ya Songwe Ndg. Godwin Kaunda akitoa neno la Shukurani na kuaihirisha maadhimisho Ya Siku ya Wanawake duniani yaliyofanyika tarehe 10.3.2022 kijiji cha Ilasilo
Mgeni rasmi Ndg. Mfilinge Abdulkadir aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Songwe akitoa hotuba siku ya Wanawake duniani iliyofanyika kijiji cha Ilasilo kata ya Galula wilayani