Siku ya wanawake Duniani – 2022
Afisa Tathimini na ufuatiliaji(M&E) Ndg. Jacqueline Sanga akitoa maelezo juu ya Kauli mbiu ya mwaka huu 2022.
Afisa Tathimini na ufuatiliaji(M&E) Ndg. Jacqueline Sanga akitoa maelezo juu ya Kauli mbiu ya mwaka huu 2022.
Shirika la Kuwezesha Maendeleo – Mbozi(ADP-Mbozi) limeadhimisha Siku ya Wanawake duniani 2022 tarehe 10.3.2022 katika kijiji cha Ilasilo, Kata ya Galula, tarafa ya Songwe wilaya
Kamanda wa Polisi anayeshughulikia “DAWATI LA JINSIA” Wilaya ya Songwe Afandi Charles Mweya Paulo akitoa maelezo juu ya DAWATI la JINSIA na kazi zake.
Ms. Juliana Ng’webesa – Agriculture and Nutrition head of Department from ADP Mbozi giving speech to the audience during World Women’s day 2021 at Kanga
Ms. Daria Rugumira – ADP Mbozi Executive director giving speech to the audience during World Women’s day 2021 at Kanga Village Songwe District, with the
A guest of honor who is also a division officer of Songwe Division giving speech to the audience during World Women’s day 2021 at Kanga