Mafunzo ya Ujinsia
Washiriki wa Mafunzo ya Ujinsia yaliyoandaliwa na Mradi wa Uhakika wa Chakula Songwe wakiwa na Mwezeshaji wa mafunzo yaliyofanyika kuanzia tarehe 13 hadi tarehe 15 mwezi wa tisa 2022

Shirika la Kuwezesha Maendeleo - Mbozi(ADP-Mbozi) limeadhimisha Siku ya Wanawake duniani 2022 tarehe 10.3.2022 katika kijiji cha Ilasilo, Kata ya Galula, tarafa ya Songwe wilaya ya Songwe. Kauli mbiu INASEMA"KIZAZI…