You are currently viewing Maadhimisho ya siku ya Chakula duniani

Maadhimisho ya siku ya Chakula duniani

Maadhimisho ya siku ya chakula duniani yaliyo ratibiwa na mradi wa uhakika wa chakula na lishe wenye mtazamo wa kijinshia unaotekelezwa na ADP Mbozi ,wilaya ya Songwe aliesimama ni mkuu wa wilaya ya Songwe Mh. Solomon Itunda aliyealikwa kuwa mgeni rasmi akieleza umuhimu wa usalama wa chakula katika kupunguza udumavu