Usawa wa Kijinsia wilayani Songwe
Mr.Raphael mpanji kutoka kijiji cha Mbala kata ya Mwambani ambae pia ni mwanaume wa mfano wa maswala ya usawa wa kijinsia, akiongozana na mke wake kuokota kuni, katika mradi wa…
Mr.Raphael mpanji kutoka kijiji cha Mbala kata ya Mwambani ambae pia ni mwanaume wa mfano wa maswala ya usawa wa kijinsia, akiongozana na mke wake kuokota kuni, katika mradi wa…
Mr.David lucas msalale kutoja kijiji cha mpona kata ya mpona, ambaye ni mwanaume wa mfano wa kuhamasisha maswala ya usawa wa kijinsi, akisaidia kazi za nyumban, kuosha vyomba pia ni…
Mr.January kutoka kijiji cha wanzani kata ya chang'ombe ambae pia ni mwanaume wa mfano katika kijiji cha wanzani akihamasisha maswala ya usawa wa kijinsia, akiwa anasaidia na mke wake kuandaa…
Wanakikundi wa Ushirikiano group Toka mradi wa uhakika wa chakula Songwe Kata ya mpona Kijiji Cha iyovyo wakishirikiana na wataalamu kupanda Shamba darasa kwa lengo la kujifunza kwa vitendo.
Maadhimisho ya siku ya chakula duniani yaliyo ratibiwa na mradi wa uhakika wa chakula na lishe wenye mtazamo wa kijinshia unaotekelezwa na ADP Mbozi wilaya ya Songwe, aliesimama Mr.kessy sikson…
Maadhimisho ya siku ya chakula duniani yaliyo ratibiwa na mradi wa uhakika wa chakula na lishe wenye mtazamo wa kijinshia unaotekelezwa na ADP Mbozi ,wilaya ya Songwe aliesimama ni mkuu…