You are currently viewing Usawa wa Kijinsia wilayani Songwe

Usawa wa Kijinsia wilayani Songwe

Mr.David lucas msalale kutoja kijiji cha mpona kata ya mpona, ambaye ni mwanaume wa mfano wa kuhamasisha maswala ya usawa wa kijinsi, akisaidia kazi za nyumban, kuosha vyomba pia ni mnufaika wa mradi wa uhakika wa chakula wenye mtazamo wa kijinsia