You are currently viewing Usawa wa Kijinsia Wilayani Songwe

Usawa wa Kijinsia Wilayani Songwe

Mr.January kutoka kijiji cha wanzani kata ya chang’ombe ambae pia ni mwanaume wa mfano katika kijiji cha wanzani akihamasisha maswala ya usawa wa kijinsia, akiwa anasaidia na mke wake kuandaa chakula, toka mradi wa Uhakika wa Chakula Wilaya ya Songwe