You are currently viewing Shamba Darasa – Kikundi cha Ushirikiano

Shamba Darasa – Kikundi cha Ushirikiano

Wanakikundi wa Ushirikiano group Toka mradi wa uhakika wa chakula Songwe Kata ya mpona Kijiji Cha iyovyo wakishirikiana na wataalamu kupanda Shamba darasa kwa lengo la kujifunza kwa vitendo.