You are currently viewing Usawa wa Kijinsia wilayani Songwe

Usawa wa Kijinsia wilayani Songwe

Mr.Raphael mpanji kutoka kijiji cha Mbala kata ya Mwambani ambae pia ni mwanaume wa mfano wa maswala ya usawa wa kijinsia, akiongozana na mke wake kuokota kuni, katika mradi wa Uhakika wa Chakula wilayani Songwe