Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025
Afisa Lishe Toka halmashauri ya wilaya ya Songwe Ndugu Thadeo Maulid akitoa elimu kuhusu Lishe Bora inayozingatia makundi sita ya vyakula.
Afisa Lishe Toka halmashauri ya wilaya ya Songwe Ndugu Thadeo Maulid akitoa elimu kuhusu Lishe Bora inayozingatia makundi sita ya vyakula.
Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025 katika Mradi wa Uhakika wa Chakula na Lishe wenye mtazamo wa Kijinsia Songwe unaotekelezwa na ADP-Mbozi 2023-2025, Pichani ni Mh. Godwin Kaunda,…
Pichani Ndugu Romanus Mangasila mtaalam Toka ADP-MBOZI Akimsomea Risala Mgeni Rasmi, siku ya maadhimisho ya ukimwi duniani mwaka 2025.
Food and Supplements distribution to USAID Kizazi Hodari Southern Activities Beneficiaries at Mwambani Ward Songwe District. the distribution was done to all districts that implement the project to Children Living…
Pichani ni Mlengwa wa Mradi wa Uhakika wa Chakula na Lishe wenye mtazamo wa Kijinsia Songwe, Ndugu Joseph Luka, Toka Kijiji cha Wanzani kata ya Chang'ombe unaotekelezwa na ADP Mbozi…
Kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa shirika la ADP Mbozi pichani ni ndugu Maneno Uledi akitoa maelezo kuhusu shirika la ADP Mbozi katika siku ya chakula duniani, lakini pia katika…