Mafanikio ya Miaka 10 ya DREAMS
Karibu sana katika Mjadala Maalum Juu ya Mafanikio ya Miaka 10 ya DREAMS. Mjadala Utafanyika Kwa njia ya WhatsApp Siku ya Jumapili Tarehe 8/12/2024 kuanzia Saa 9:00 Mchana Hadi 11:00…

Mafunzo ya kuwajengea uwezo waalimu wanaotekeleza afua ya DREAMS katika halmashauri ya Mji Tunduma yaliyotolewa na kusimamiwa na Wakufunzi toka TACAIDS na wizara ya Elimu, kabla ya kwenda kutekeleza mashuleni,…