You are currently viewing Mafanikio ya Miaka 10 ya DREAMS

Mafanikio ya Miaka 10 ya DREAMS

Karibu sana katika Mjadala Maalum Juu ya Mafanikio ya Miaka 10 ya DREAMS.

Mjadala Utafanyika Kwa njia ya WhatsApp Siku ya Jumapili Tarehe 8/12/2024 kuanzia Saa 9:00 Mchana Hadi 11:00 Jioni. kwa Upande wa TUNDUMA TC unapotekelezwa mradi wa USAID Kizazi Hodari afua ya Core DREAMS tutakua na Afisa Ustawi wa Jamii ANNA WANDWI kama Mtoa mada ya tatu..!!

Jiunge nasi kupitia link hii hapa chini

https://chat.whatsapp.com/GWatQ4ITYPGCkwlpmJtQBw