You are currently viewing Mafunzo ya Elimu ya Fedha kwa Waalimu wa DREAMS

Mafunzo ya Elimu ya Fedha kwa Waalimu wa DREAMS

Mafunzo ya kuwajengea uwezo waalimu wanaotekeleza afua ya DREAMS katika halmashauri ya Mji Tunduma yaliyotolewa na kusimamiwa na Wakufunzi toka TACAIDS na wizara ya Elimu, kabla ya kwenda kutekeleza mashuleni, Mradi huu Unafadhiriwa na USAID na unatekelezwa na Shirika la ADP Mbozi kwa kushirikiana na Deloitte.