Siku ya Wanawake Duniani – 2022
Maadhimisho ya siku ya wanawake kimkoa yamefanyika Tarehe 09 March 2022 katika wilaya ya Ileje, Mmoja kati ya wanakikundi wa kikundi cha TUDAMSHE kutokea kata
Maadhimisho ya siku ya wanawake kimkoa yamefanyika Tarehe 09 March 2022 katika wilaya ya Ileje, Mmoja kati ya wanakikundi wa kikundi cha TUDAMSHE kutokea kata
Afisa Tarafa ya Songwe Ndg. Godwin Kaunda akitoa neno la Shukurani na kuaihirisha maadhimisho Ya Siku ya Wanawake duniani yaliyofanyika tarehe 10.3.2022 kijiji cha Ilasilo
Mgeni rasmi Ndg. Mfilinge Abdulkadir aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Songwe akitoa hotuba siku ya Wanawake duniani iliyofanyika kijiji cha Ilasilo kata ya Galula wilayani
Afisa Tathimini na ufuatiliaji(M&E) Ndg. Jacqueline Sanga akitoa maelezo juu ya Kauli mbiu ya mwaka huu 2022.
Shirika la Kuwezesha Maendeleo – Mbozi(ADP-Mbozi) limeadhimisha Siku ya Wanawake duniani 2022 tarehe 10.3.2022 katika kijiji cha Ilasilo, Kata ya Galula, tarafa ya Songwe wilaya
Kamanda wa Polisi anayeshughulikia “DAWATI LA JINSIA” Wilaya ya Songwe Afandi Charles Mweya Paulo akitoa maelezo juu ya DAWATI la JINSIA na kazi zake.