You are currently viewing Uhifadhi wa mazao kwa kutumia mifuko ya Kinga njaa (PICS)

Uhifadhi wa mazao kwa kutumia mifuko ya Kinga njaa (PICS)

Pichani ni Mlengwa wa Mradi wa Uhakika wa Chakula na Lishe wenye mtazamo wa Kijinsia Songwe, Ndugu Joseph Luka, Toka Kijiji cha Wanzani kata ya Chang’ombe unaotekelezwa na ADP Mbozi kwa ufadhiri wa horizont 3000, akionyesha jinsi alivyofunzwa na wataalam wa Mradi kuhifadhi mazao kwa kutumia mifuko ya Kinga njaa (PICS).