You are currently viewing Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani 2022

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani 2022

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani 2022 kimkoa yakifanyika Halmashauri ya Mji Tunduma katika viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma, ambapo ADP Mbozi ni moja ya washiriki katika Banda la Mradi wa ACHIEVE unaotekelezwa na Shirika.
Maadhimisho haya yana kauli mbiu isemayo: IMARISHA USAWA
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho haya ni Mkuu wa MKOA wa Songwe Mhe. Waziri Waziri Kindamba