You are currently viewing Mafunzo kwa Waalimu

Mafunzo kwa Waalimu

Mafunzo ya Elimu ya HURU na Kinga dhidi ya Ukatili wa Kingono na VVU kwa Vijana wenye miaka 10- 14, Yaliyotolewa kwa Waalimu za Msingi Tunduma TC. Yaliyotolewa na Mradi wa DREAM – Shirika la Maendeleo ADP Mbozi.! Mradi huu unafadhiliwa na USAID kupitia PACT Tanzania.