You are currently viewing Ugawaji wa vifaa kwa walengwa wa Mradi wa ACHIEVE

Ugawaji wa vifaa kwa walengwa wa Mradi wa ACHIEVE

Ugawaji Vifaa vya shule (Educational subsidies) pamoja na taulo za kike (Sanitary pads) uliofanyika katika kituo cha Afya Tunduma H/C. Pichani ni staff kutoka ofisi ya Tunduma, CCW na Afisa ustawi, wakigawa vifaa hivi kwa walengwa wa Mradi wa ACHIEVE unaotekelezwa na shirika la maendeleo ADP MBOZI. Mradi huu unafadhiliwa na USAID kupitia PACT Tanzania.