You are currently viewing Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025

Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025

Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025 katika Mradi wa Uhakika wa Chakula na Lishe wenye mtazamo wa Kijinsia Songwe unaotekelezwa na ADP-Mbozi 2023-2025, Pichani ni Mh. Godwin Kaunda, ambaye ni mgeni rasmi akihutubia walengwa katika Kijiji cha Ifwenkenya kata ya Ifwenkenya Leo 28.11.2025.