Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025
Afisa Lishe Toka halmashauri ya wilaya ya Songwe Ndugu Thadeo Maulid akitoa elimu kuhusu Lishe Bora inayozingatia makundi sita ya vyakula.
Afisa Lishe Toka halmashauri ya wilaya ya Songwe Ndugu Thadeo Maulid akitoa elimu kuhusu Lishe Bora inayozingatia makundi sita ya vyakula.
Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025 katika Mradi wa Uhakika wa Chakula na Lishe wenye mtazamo wa Kijinsia Songwe unaotekelezwa na ADP-Mbozi 2023-2025, Pichani ni Mh. Godwin Kaunda,…
Pichani Ndugu Romanus Mangasila mtaalam Toka ADP-MBOZI Akimsomea Risala Mgeni Rasmi, siku ya maadhimisho ya ukimwi duniani mwaka 2025.
Pichani ni Mlengwa wa Mradi wa Uhakika wa Chakula na Lishe wenye mtazamo wa Kijinsia Songwe, Ndugu Joseph Luka, Toka Kijiji cha Wanzani kata ya Chang'ombe unaotekelezwa na ADP Mbozi…
Mr.Raphael mpanji kutoka kijiji cha Mbala kata ya Mwambani ambae pia ni mwanaume wa mfano wa maswala ya usawa wa kijinsia, akiongozana na mke wake kuokota kuni, katika mradi wa…
Mr.David lucas msalale kutoja kijiji cha mpona kata ya mpona, ambaye ni mwanaume wa mfano wa kuhamasisha maswala ya usawa wa kijinsi, akisaidia kazi za nyumban, kuosha vyomba pia ni…