You are currently viewing Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025

Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani mwaka 2025

Afisa Lishe Toka halmashauri ya wilaya ya Songwe Ndugu Thadeo Maulid akitoa elimu kuhusu Lishe Bora inayozingatia makundi sita ya vyakula.